Darasa la Kiroho

Hili ni jukwaa takatifu ambapo waamini wanafundishwa, wanaimarishwa, na kuwezeshwa na Roho Mt. Chini ya uongozi wa Mchungaji Robin, mafundisho haya yanaingia katika kweli za kiroho.

Tenzi za Rohoni

Nyimbo za kiroho ni njia ya pekee ya kuabudu na kuonyesha ukaribu wetu na Mungu. Zinainua nafsi, zinavunja vizuizi vya kiroho, na kuleta uwepo wa Roho Mtakatifu hapa Spiritual Class Online.

HUDUMA ZA SPIRITUAL CLASS ONLINE

MAKALA ZA HIVI KARIBUNI

Bofya >> mshale kulia kuona zaidi

Robin Mwenda Ministries | Gospel Preacher | Professional Teacher | MC | Travel Agent | Inspirational Speaker