Author Archives: spiritualadmin

NINI HATMA YA WALE WANAOKUFA KATIKA ULIMWENGU HUU WA SASA?

Imekuwa ni jambo la kawaida kusikia kwamba mtu fulani wa karibu au mbali amefariki kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ajali, ugonjwa au uzee na nyingine nyingi zinazofanana na hizo. Pia imekuwa kawaida sana kwetu sisi wanadamu kujali sana na kutafakari wale walioachwa na aliyefariki wataishije hapa Duniani, hali hii sio ya ajabu kwani ni ukweli […]

NGUVU YA NEEMA(SEHEMU YA PILI)

Nakusalimu katika Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Na karibu katika mwendelezo wa somo letu! Sasa sehemu iliyopita tuliishia katika kuona kwanini Torati iliingia na tukaona sababu ya kwanza, ni; Ili kuwaonyesha watu makosa yao na pia kuwafundisha kwamba lazima waishi kwa utaratibu. Pili, tuliona ni ili kuonyesha utangulizi wa uhalisia ambao ungekuja […]

NGUVU YA NEEMA(SEHEMU YA 1)

Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai. Na nakukaribisha katika Msimu wetu mpya wa SPIRITUAL CLASS ONLINE na leo tunaanza na Somo muhimu Sana ninaloamini kwamba kwa kulifahamu utapata faida nyingi sana katika kufahamu ni kwa namna gani Mungu anatusaidia katika maisha yetu ya kila siku. Katika kuanza somo letu naomba […]

KWANINI YESU KRISTO ALIKUJA DUNIANI KATIKA MWILI?

Shalom! Yu mkini wewe Ni mmoja wa wale wanaomwamini na kumpenda sana Yesu, Kama ndivyo umefanya uamuzi wa busara Sana na Kama bado basi Wakati uliokubalika Ni sasa, saa ya wokovu ni Sasa! Mambo ya kwanza, tuyaweke kwanza, Ni muhimu Sana kufahamu kwamba hapo mwanzo “Yesu Kristo” haukuwa anaitwa hivyo, hilo ni jina la Kazi […]

SABABU ZA ROHO MTAKATIFU KUJA DUNIANI.

Yohana 14:16, 16;7 Sehemu ya Kwanza(Part 1) Shalom! Ni matumaini yangu wewe uko salama, na unaendelea kumpenda Yesu. Baada ya kuwa tumeona angalau Kwa utangulizi Nini sababu za Yesu kuja Duniani katika Mwili, ambazo ni Pamoja na Kufanya kazi ya malipizi ya Dhambi Msalabani, kutupa uzima n.k Leo nimeona vyema tujifunze nga Kwa utangulizi kuhusu […]