Category Archives: JIFUNZE NENO LA MUNGU

Roho Mtakatifu ni Nani Haswa?

Bible Learning

Kuna utata mwingi kuhusu kumtambua Roho Mtakatifu. Wengine humchukulia kama nguvu fulani zisizoonekana. Wengine huamini kwamba ni uwezo wa Mungu ambao Mungu huuachilia maishani mwa wale ambao wamemwamini Kristo. Je, Biblia inasemaje kuhusu Roho Mtakatifu? Kwa kifupi, Biblia inasema kwamba Roho Mtakatifu ni Mungu. Pia, Biblia inasema kwamba Roho Mtakatifu ni nafsi, yenye akili, hisia, […]

What exactly is the Faith in God?

Faith in GodFaith in God is trusting in Him based on knowing Him as He is, as He has revealed Himself in the Bible. Faith in God involves accepting not only with the spirit but also with the mind the truth about God and the transformation of life that results from that truth. Key Areas […]

KUWA MAWAKILI KATIKA MALI ZA MUNGU | PART 01

UTANGULIZI: Kiini cha somo ni jinsi gani matoleo yanavyoleta mahusiano kati ya Mwamini na Mungu. Jambo hili la uhusiano na Mungu kupitia matoleo ni la muhimu sana kulijua. Mara zote Mungu akitaka kuupima upendo na kujitoa kwa mtu anampima katika suala la matoleo. Kwa mfano: Abrahamu alipimwa katika kumtoa mwanae wa pekee Isaka, kipenzi cha […]