Tag Archives: injili

KUWA MAWAKILI KATIKA MALI ZA MUNGU | PART 01

UTANGULIZI: Kiini cha somo ni jinsi gani matoleo yanavyoleta mahusiano kati ya Mwamini na Mungu. Jambo hili la uhusiano na Mungu kupitia matoleo ni la muhimu sana kulijua. Mara zote Mungu akitaka kuupima upendo na kujitoa kwa mtu anampima katika suala la matoleo. Kwa mfano: Abrahamu alipimwa katika kumtoa mwanae wa pekee Isaka, kipenzi cha […]